Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa tamko kuhusu Mapambano dhidi ya wanaume Mashoga yaliyoratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Taarifa iliyotolewa na Ubalozi huo imelenga kuwaonya Raia wa Marekani walioko nchini Tanzania kuwa makini kila waendako na kuhakikisha wametoa picha zao kwenye mitandao ya kijamii au chochote kitakachoashiria mienendo ya kishoga.

Aidha wametaka kwa raia wao yeyote atakaye kamatwa, ubalozi wa Marekani ufahamishwe mara moja.

The United States has warned its citizens in Tanzania to be cautious after commercial capital Dar es Salaam announced a crackdown on homosexuality, which is a criminal offence in the East African country.

In an alert on its website late on Saturday, the U.S. Embassy in Tanzania advised Americans to review their social media profiles and internet footprints.

“Remove or protect images and language that may run afoul of Tanzanian laws regarding homosexual practices and explicit sexual activity,” it said.

The alert said any U.S. citizen who was detained or arrested should ensure the Tanzanian authorities informed the embassy.

Dar es Salaam’s administrative chief Paul Makonda said on Wednesday that a special committee would seek to identify and punish homosexuals, prostitutes and online fraudsters in the city from this week.