Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Advocate Felix Kibodya amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Katika Hospital ya Lugalo baada ya kuugua kwa Muda mfupi.

Yanga SC itakumbuka na kuuenzi mchango wake mkubwa kwa timu. Mungu ampumzishe mahali pema peponi.