Mpango wa Makonda kuifanya Dar es Salaam kuwa ya ajabuu

Mpango wa serikali ni kuhakikisha mkoa wa Dar es Salaam unakua ni wa Usiku na Mchana.

Makonda ameyasema hayo Leo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisi kwake na kusema kuwa zipo changamoto ambazo wamekuwa wanahangaika nazo kuzitatua ni pamoja na kuwa na taa za ulinzi kwenye maduka na kuwasihi wafanyabiashara wafunge kamera. na punde watakutana na wafanyabiashara wote.

“Mpango wa Serikali ya Mkoa ni kuhakikisha kwamba DSM inakua ni ya usiku na mchana, hautazidi mwezi wa pili kutakua na tamko rasmi la kuhakikisha DSM ni ya usiku na mchana” -RC Paul Makonda

 Pia amesema punde watakutana na wafanyabiashara wote ili kujadili swala hilo.