KMKM yaongoza ligi ikiwa na pointi 33.

Mlandege ndio timu pekee ya kiraia ikiwa kwenye nne bora za juu ikiwa inashika nafasi ya pili ikiwa an pointi 29.