Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Julius S. Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , mkoani Ruvuma.

Bw. Mtatiro anachukua nafasi ya Bw. Juma Zubeir Homera ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.

Utaanza wa Mtatiro unaanza leo Julai 14, 2019