Mvua kubwa imeripotiwa kunyesha siku ya Jumatatu, katika jiji la Washington DC nchini Marekani na kusababisha mafuriko na kupelekea hadha kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya moto  na waenda kwa muguu kwenye maeneo kadhaa ya barabara

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vimeripoti kuwa maji yameonekana kujaa kwenye sehemu mbalimbali ya jiji hilo ikiwemo White House jambo ambalo linaelezwa kuwa si lakawaida kutokea.

Baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani (White House) wame ‘tweeted’ picha ambazo zinaonyesha maeneo ambayo maji yameingia

View image on Twitter

Mamlaka za hali ya hewa zinatazamia kuwa mafuriko hayo ni ya historia katika jiji la Washington DC.

Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa 1, katika jiji hilo la kibiashara inakadiriwa kuwa na ukubwa wa mm 88.

View image on Twitter
View image on Twitter
View image on Twitter

View image on Twitter

Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa 1, katika jiji hilo la kibiashara inakadiriwa kuwa na ukubwa wa mm 88.

View image on Twitter