Mwenyekiti wa ADA–TADEA atoa msaada wa Tsh. Milioni 6 kukarabati barabara ya Kisauni

Barabara ya Kisauni Muharitani ambayo imepatiwa Msaada wa kifusi na Mwenyekiti wa Chama cha ADA – TADEA ambae ni Waziri asie na Wizara Maalumu Ndugu Juma Ali Katib.

 

Magari yakiteremsha kifusi kwaajili ya ukarabati wa barabara ya Kisauni Muharitani iliopatiwa msaada na Waziri asiekuwa na Wizara Maalumu Mhe. Juma Ali Katib.

 

Magari yakiteremsha kifusi kwaajili ya ukarabati wa barabara ya Kisauni Muharitani iliopatiwa msaada na Waziri asiekuwa na Wizara Maalumu Mhe. Juma Ali Katib.

 

Waziri asie na Wizara Maalumu Ndugu Juma Ali Katib aliekamata pauro akijumuika na Wananchi wa Kisauni Muharitani kuweka kifusi katika barabara hiyo ambayo imaharibika kwa mvua zinazoendelea kunyesha katika Kijiji hicho.

 

Waziri asiekuwa na Wizara Maalumu Mhe. Juma Ali Katib akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika kuweka kifusi kwenye barabara ya Kisauni Muharitani.

 

Mwananchi wa Kisauni Muharitani Jeremi Stivin akizungumzia fuaraha yake baada ya kuwekewa kifusi katika barabara yao ambayo ikinyesha mvua ni vigumu kupitika

Picha na  Abdalla Omar Maelezo Zanzibar.