Kwa wale wote wanaohitaji nafasi za Ofisi na maduka katika jengo jipya la MICHENZANI MALL nafasi bado zipo, Fomu zinapatikana katika ofisi za ZSSF zilizopo kilimani Mnara wa Mbao Zanzibar.