Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa kauli kuhusiana na video ya Mwanza ya Rayvanny akimshirikisha Diamond Platnumz baada ya video hiyo kurudishwa katika mtandao wa YouTube na Rayvanny June 15.

Basata yatishia kumfungia Rayvanny

Basata wamekanusha taarifa zinazoenea katika mitandao kwamba video hiyo imeruhusiwa huku akimtaka Rayvanny na Uongozi wake kuifuta video hiyo haraka katika mtandao wa YouTube.