“Nawashukuru kwa kura tena nyingi 129,nawashukuru ambao hamjanipigia kura pia ndio Demokrasia, sasa hakuna tena Team Mwinyi wala Team nyingine tuungane, kazi haikuwa rahisi nimefanya mitihani mingi ila huu ulikuwa mgumu zaidi, najua kuna kazi kubwa mbele, Mungu atatulinda”-Dkt. Hussein Mwinyi baada ya kupitishwa na CCM kuwa mgombea Urais Zanzibar