Bibi Cheka, msanii kikongwe anayefanya muziki wa Bongo Fleva amesema wimbo huu wa alioupa jina “Hali Yangu” huenda ukawa ndio wimbo wake wa mwisho kama Mungu atamchukua kwa sababu amekua akisumbuliwa na maradhi kila mara.

Katika Wimbo huu Bibi Cheka amemshirikisha Dj Tiffa.