Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar jana jioni akitokea kisiwani Pemba ambako aliweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hayati Dkt Omar Ali Juma, na kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Gombani ya Kale.

1

2

3

4

5

7

8

9

10

11

12

13

14

15

16

17

18

19