PAZA SAUTI KATAA UNYANYASAJI Hii ndio kaulimbiu ya Msimu wa Tamasha kubwa la muziki duniani la Sauti za Busaralinalofanyika katika Visiwa maarufu ulimwenguni vya Zanzibar.

Ni siku nne za Mirindimo ya muziki wa ukweli ndani Jumba la ngome kongwe na bustani yake ya Forodhani.

Picha zote kutoka Ukurasa wa Instagram wa Sauti za Busara.