Picha: Waziri wa Afya afanya atembelea ujenzi wa kituo cha afya Binguni

Waziri Wa Afya Zanzibar Afanya Ziara Ya Kuitembelea Ujenzi Na Mipaka Ya Kituo Cha Taasisi Ya Mambo Ya Afya Binguni Wilaya Ya Kati Mkoa Wa Kusini Unguja.

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akipatiwa maelezo na Injinia wa ujenzi wa kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Mohammed Nahoda Mohammed katika ziara ya kutembelea kituo hicho kilichupo Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

 

Mkurugenzi wa Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar Dkt. Mayssa Salum Ali akimuelezea Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed katikati juu ya mafundi wanavyoendelea na ujenzi, kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Khamis Rashid Mohammed.

 

Muonekano Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar.

 

Eneo la mipaka ya Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar likionekanwa tayari limezungushiwa Nguzo kwaajili ya kulihami na Uvamizi wa Wananchi.

Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar.