Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amem teua Dkt. Lutengano Undule Mwakahesya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency – PBPA).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Mwakahesya umeanza tarehe 21, Novemba 2018.

TAMWA yafichua yaliyomo katika nyoyo za wananchi Zanzibar

Dkt. Mwakahesya aliwahi kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) mwaka 2016.

Taarifa rasmi ya Ikulu hii hapa chini.