Wananchi wa Somanga mkoani Lindi wamemshukuru Rais Magufuli kwa kumpatia zawadi ya jogoo, hii ni baada ya Rais kutoa fedha za kujengea kituo cha afya mkoani humo.