Rais Magufuli atumbua Mawaziri wawili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri leo Novemba 10, 2018.

Katika Mabadiliko hayo yaliyotangazwa leo jioni, Rais Magufuli amewatumbua Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles John Mwijage na nafasi yake kuchukuliwa na Mhe. Joseph George Kakunda.

Aidha Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Kilimo Dkt. Charles John Tizeba na nafasi yake kuchukuliwa na Mhe. Japhet Ngailonga Hasunga.

Taarifa zaidi hii hapa chini: