Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo atamuapisha, Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Homera anachukua nafasi ya Amosi Makala, ambaye uteuzi wake ulitenguliwa siku ya jana, Jumanne.