Leo Rais John Magufuli anatarajiwa kumaliza ziara yake mkoani Mtwara kwa kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa kituo cha Afya cha Mbonde na kuzungumza na wananchi wa Masasi.

Baada ya hapo ataendelea na ziara yake mkoani Ruvuma ambako ataanza kwa kufungua barabara ya lami ya Mangaka-Nakapanya-Tunduru, na Mangaka-Mtambaswal