Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi tayari amewasili Wilayani Chato Mkoani Geita leo kwaajili ya Ziara ya kikazi ya siku mbili hapa Nchini ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli.