Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amekanusha taarifa zilizosambaa kwamba amekimbizwa nje ya Nchi baada ya kuugua corona “acheni utoto na propaganda za kipuuzi, sina corona, nguvu mnazotumia kueneza uzushi tuzitumie kupambana na virusi hivi ili viondoke kabisa”