Mamlaka ya viwanja vya ndege Zanzibar  inawatangazia vijana wote ambao waliomba nafasi za kazi katika  kitengo cha usalama wa kiwanja (aviation security) wito wa usaili kwa nafasi hizo.

Bonyeza hapa kutizama majina ya walioitwa kwenye usaili huo