Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akihutubia wananchi kupitia vyombo vya habari katika maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani zilizofanyika Ofisi ya Mkoa Kusini kitaifa.
Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrissa Kitwana Mustafa akichangia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja katika Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani zilizofanyika Ofisi ya Mkoa Tunguu.
Meneja wa Programu Shirikishi ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma Dk. Farhat Khalid akitoa ufafanuzi wa masuala ya Waandishi wa Habari katika Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu yaliyofanyika Ofisi ya Mkoa Kusini Unguja ziliopo Tunguu.
 Picha ya pamoja ya Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja, Wakuu wa Wilaya na Maafisa wa Programu Shirikishi ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma baada ya kumaliza hotuba ya Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu yaliyofanyika Ofisi ya Mkoa Tunguu.


Picha na Makame Mshenga.