Taarifa zinasema Real Madrid wana kitita cha £330m wanazotaka kutumia, huku rais wao Florentino Perez akipanga kuwanunua wachezaji nyota kuimarisha kikosi hicho.

Miongoni mwa wachezaji anaowataka ni nyota wawili wa Paris St-Germain Neymar, 26 na Kylian Mbappe, 19. (AS, via Sun).