Baada ya kufanya vizuri na ngoma yao ya Hivi Ama Vile, Roma Mkatoliki na Stamina, waite Rostam wamekuja na wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Kiba_100 ambao wamemshirikisha Maua Sama.

Tazama video ya wimbo huo hapa chini;