Ruby Msanii wa Bongo Fleva amejaliwa kupata mtoto ambae anafanya vizuri na nimwenye sauti ya kipekee.

Tayari toka awali inafahamika kuwa Ruby yupo kwenye mahusiano na msanii mwenzie, Kusah ambaye ndiye baba wa mtoto huyo.

Ruby anaungana na wasanii wengine wa kike kama Gigy Money ambaye alijaliwa kupata mtoto mwaka jana. Kwa sasa Ruby ambaye anafanya vizuri na wimbo wake unaokwenda kwa jina la Alele.