Akiwa kwenye hafla ya mama Kijacho Aunty Ezekiel, muigizaji wa filamu na Mjasilimali Shilole amefunguka kuwa na yeye ni mama kijacho mtarajiwa. Shilole alisema maneno hayo alipokiwa akiongea na wageni waalikwa katika shughuli hiyo

Hivi karibuni Shilole amekuwa akidaiwa kuwa na mahusiano na mpiga picha aitwaye ROMMY. Hata hivyo wawili hao hawajawahi kukiri kuwa ni kweli au la.