SIMBA KUVAANA NA AL AHLY LEO Posted by Khadija Mussa | Feb 23, 2021 Kikosi cha simba kitashuka uwanjani na kuoneshana ubabe na mabingwa wa Africa Al Ahly mechi itakayochezwa  ndani ya dimba la Mkapa leo saa 10 jion.