Steve Nyerere amchana Irene Uwoya

Muigizaji wa filamu Steve Nyerere amjia juu Irene Uwoya baada ya ku’post’ picha ya mwanadada huyo iliyoonesha utofauti na kuandika ujumbe ulioacha maswali kwa watu wengi mtandaoni.

Steve Nyerere ameandika “DAAAAAAAAAA Hiiiiiiiii LAST MINUTE. Walahi nimekuangalia mara 30000000000000000 nimejikuta nasema NO LONG PATISPET″.

Steve Nyerere ame’post’ picha ya Irene Uwoya akiwa amefanya make up na nyingine akiwa hana make up na kusema kuwa ameingalia picha hiyo zaidi ya mara kadhaa na amekosa jibu.