Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imeripoti kuingizwa kwa Tani 880 za mafuta ya Dizel na kampuni ya Zanzibar Petrolium (ZP) ambayo kwa mujibu wa shirika la viwango Zanzibar (ZBS) mafuta hayo yamefeli kutumika nchini kutokana na kutokukidhi vigezo vinavyohitajika kwa kuwa na kiwango kikubwa cha maji ndani yake.

Soma taarifa kamili iliyotolewa na ZURA.