”Mtu yeyote atakayepewa vifaa vya kujikinga na Corona na vikapimwa na kukutwa na Corona, mtu huyo apelekwe kwenye kesi ya jinai hata ya mauaji kama wauaji wengine hivyo watendaji mjiepushe kupokea vifaa hivyo, kwenye hili tuchukue tahadhari kubwa” – Rais Magufuli