Taasisi ya Viwango ya Zanzibar (ZBS) inakaribisha maombi ya kujaza nafasi tupu katika kada mbali mbali kwa Waombaji wenye sifa stahili katika Ofisi yake iliyopo Unguja na Pemba.