Tangazo La Wito Wa Usaili

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati (kwa ajili ya Ofisi ya Wakala wa Majengo) na Ofisi ya Tume ya Kurekebisha Sheria kwenda kuangalia majina yao katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Mizingani kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 06 Disemba, 2018. 

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao wanaombwa kufika katika Ofisi ya Wakala wa Majengo – Kilimani Zanzibar kwa ajili ya kufanyiwa usaili wa ana kwa ana siku ya Jumamosi ya tarehe 08 Disemba, 2018 saa 2:00 za asubuhi. 

Wasailiwa wote wanatakiwa wachukue vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

KWA UPANDE WA Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati (kwa ajili ya Ofisi ya Wakala wa Majengo) VIJANA WENYEWE NI HAWA WAFUATAO

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA , MAJI NA NISHATI

NAFASI YA KAZI YA MHANDISI UJENZI DARAJA LA II 

NO JINA KAMILI

1 ABDALLA HASSAN ABDALLA
2 ABUBAKAR THANI MOHAMED
3 ALI MOHAMED KHAMIS
4 ALI OMAR KHATIB
5 ASHA TAHA RAJAB
6 JUMA NASSOR HARITH
7 MBAROUK SAID MBAROUK
8 MOH’D JUMA YUSSUF
9 MUNAHIR ABUD KHAMIS
10 MUNIR AMOUR SAID
11 SALMIN HASSAN ALLY
12 SHARIFA SULEIMAN OTHMAN

NAFASI YA KAZI YA MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II 

NO JINA KAMILI

1 ALI SIMAI MAKAME
2 AWENA AHMED KEIS
3 FAT- HIYA SAID BAKRAN
4 RASHID ALI OMAR
5 SABIHA SALEH ISSA
6 SUHAILA RAFII SULEIMAN

NAFASI YA KAZI YA MTHAMINI MAJENGO DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 ABUBAKAR AMOUR MPINGO
2 YAHYA ABDALLA ALMASY

NAFASI YA KAZI YA MHANDISI UMEME DARAJA LA II 

NO JINA KAMILI

1 ALI MASOUD JUMA
2 FATMA MBAROUK SALIM
3 HAMAD BAKAR KASSIM
4 JUMA KHAMIS JUMA

NAFASI YA KAZI YA MHANDISI WA COMPUTER DARAJA LA II 

NO JINA KAMILI

1 ASYA BAKARI SAID
2 MARIAM ALI HAMZA
3 NADRA ISSA RAMADHAN
4 NURHAT KASSIM JUMA
5 OMAR SALUM HAMAD
6 RAWHIYA ALI KHAMIS
7 ZAINAB OTHMAN JUMA

NAFASI YA KAZI YA MHANDISI WA MACHINE DARAJA LA II 

NO JINA KAMILI

1 AHMAD HAROUB SALUM
2 AMOUR RAJAB SALUM
3 HASSAN HAJI HASSAN
4 MACHANO KHAMIS BAKARI
5 SULEIMAN EDWARD ADAM

NAFASI YA KAZI YA FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 ARAFA HAJI ALI
2 DADI SHAIBU AME
3 FAHAD MAHFOUDH KHAMIS
4 IBRAHIM ALI JUMA

NA KWA OFISI YA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA NI HAWA 

NAFASI YA KAZI YA MWANASHERIA

NO JINA KAMILI

1 ROSEMARY BONIPHACE NYWANDWI
2 ALI HAJI HASSAN
3 ZUWENA SALEH ZUBEIR
4 MOHAMED ABDURAHIM MOHAMED
5 NASRA KHAMIS SAID
6 FARHAT RASHID OMAR
7 RASHID ABDULLA RASHID
8 ABDILLAHI MCHA ABDALLA
9 JUMA OTHMAN MSHENGA
10 FATMA SEREMBE KHAMIS
11 SALHA ABDULRAHMAN SEIF
12 MOHAMMED SAID MOHAMMED
13 AMINA HABABUU MOHAMED
14 MUDATHIR ALI NAIM
15 THANIA ABDALLA JUMA
16 MWANAIDI JUMA SULEIMAN N’HUNGA
17 ARAFA HAFIDH SADIQ
18 AZALA ALI KHAMIS
19 MBAROUK MSELLEM SHADHIL
20 ZALHAT IDDI WAKIL
21 FAT-HIYA SALUM ABDALLA
22 LUTTA MWADINI KHERI
23 MARYAM ABDALLA ALI
24 SALMA MTUMWA WAHABI

NAFASI YA KAZI YA MLINZI

NO JINA KAMILI

1 ADAM ABDALLA SAID
2 ALI OTHMAN FAKI
3 DAROUS SAID ALI
4 HAJI HAMZA HAJI