Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya Awamu ya Tatu Mzee Iddi Simba amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu, binti yake Sauda Simba amethibitisha.

Endelea kutufuatilia kwa Taarifa zaidi.