Mtangazaji Nguli wa habari nchi aliyekuwa akifanya kazi katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) amefariki leo Aprili 01, 2020 katika hospitali ya Jeshi, Lugalo iliyopo jijini Dar

Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema mipango ya mazishi inaendelea kufanywa na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa