Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Watanzania  kutoa heshima za mwisho katika kuuaga mwili wa Mchekeshaji mkongwe nchini Tanzania, Mzee Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

Video na Millardayo.