Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF inaendelea kutoa ufafanuzi wa mambo mbali mbali yanayohusu shirikisho hilo kuhusiana na mwenendo wa klabu vipi wataendesha timu zao na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mambo mbali mbali ya kimichezo ambayo baadhi ya wanamichezo wameonekan kutoyafaham vizuri.