“Mimi Mtu mzima sasa maneno yangu mengine pengine hudhaniwa ndoto za uzee, ningetamani mambo mawili, moja la hakika lingine la kufikiriwa,la hakika tuhahakishe tunawashawishi Watanzania Rais wetu apate matokeo kamili isiwepo ya kukataa, mwenye kukataa atupe sababu”-Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ally Hassan Mwinyi mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Dodoma leo

“Nchi yetu inaendeshwa kwa Katiba na lazima tuienzi, lakini twaweza tukitaka kuiahirisha kwa muda mfupi ili kumpa Rais Magufuli kipindi kingine kimoja cha Asante kisha baadaye tuendelee vilevile mpaka Dunia iishe, kwasababu kuna mengi aliyonayo na Nchi itayakosa” -Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ally Hassan Mwinyi mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Dodoma leo