Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu amesema kuwa Chama hicho hakijafungua kesi yoyote Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwasababu hakina Mamlaka ya kufanya hivyo Kisheria bali
nchi Wanachama wa mkataba wa Rome pamoja na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC ndio wana mamlaka ya kufungua kesi.

“ Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC kuamua ikiwa ushahidi waliowasilisha unakidhi Kifungu cha 7 na 17 cha Sheria ya Roma, inayoelezea aina za uhalifu ”

Lisu ameendele kuongeza CHADEMA iliwasilisha ushahidi wa matukio ambayo yangeweza kuwa makosa ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu ambayo yalifanywa dhidi ya Wapinzan