Katika kumpongeza Mwanawe anayetimiza miaka mitatu hii leo Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amemtakia maisha marefu mwanawe Princes Tiffah huku akimuombea kwa Mungu ampe akili, Afya na Adabu.

Diamond kupitia ukurasa wake wa Instergram ameandika kuwa “I do love you, not because you are my Daughter…Nah! I love you because you love me more than aything in the World…. sometimes i even wonder why you Love me so….and that is the reason why i can’t sleep without praying for you..
“I can’t sleep without thinking about you… and most of the time when you come to my mind i feel like i owe you more than a life…Inshaallah, Mwenyez Mungu akukuze vyema, Akupe akili, Afya, Adabu, Umri mrefu wenye Furaha na Future nzuri baadae…..
“Nakupenda sana Mwanangu, Nakupenda sana Tiffah angu…. Happy 3 Birthday mama🙏🏻 @princess_tiffah 💖💖💖💞💝💞.”

Leo August 6, 2018 ni siku ya sherehe ya kuzaliwa kwa mtoto  Tiffah ambaye anatimiza miaka mitatu.