Ujumbe wa Diamond Platnumz kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete

Msanii wa muziki wa Bongo Flava Naseeb Abdul, Diamond Platnumz ametumia ukurasa wake wa Instagram kumtumia ujumbe Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akimwambia “Vijana wako leo tumeambiwa hatuna tena umuhimu, hatutakiwi tena kwenye kampeni”

Diamond ametuma ujumbe huo katika siku ya kuzaliwa kwa Rais Mstaafu Kikwete.

Soma ujumbe wa Diamond hapo chini.