“Asante Rais Magufuli kwa kuendelea kuniamini na kunitia moyo katika kusimamia Sekta ya Afya nchini hasa kipindi hiki cha mapambano dhidi ya COVID19, naahidi kuendelea kuitumikia Nchi yangu kwa bidii, uaminifu na maarifa zaidi”-Ummy baada ya pongezi za JPM