Usaili wizara ya ardhi, nyumba, maji na nishati na wizara ya kazi, uwezeshaji, wazee wanawake na watoto

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji, na Nishati Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar kwenda kuangalia majina yao Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Mizingani kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 11 Oktoba, 2018.

Kwa wale watakao ona majina yao wanatakiwa kufika katika Nyumba za Wazee Sebleni siku ya Jumamosi ya tarehe 13 Oktoba, 2018 saa 2:00 za asubuhi.

Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

KWA UPANDE WA WIZARA YA KAZI, UWEZESHAJI, WAZEE, WANAWAKE NA WATOTO VIJANA HAO NI KAMA WAFUATAO

NAFASI YA KAZI YA WAHUDUMU DARAJA LA III

NAM JINA KAMILI

1 ABDALLA ABU VUAI
2 ABDALLA GHARIB BILAL
3 ABDULLA ALI HAJI
4 AMINA JUMA SHUWARI
5 ASHA HAJI BANDU
6 AZIZA MALIK JUMA
7 FATMA KOMBO ZUBEIR
8 HADIA SULEIMAN HAJI
9 HAZRAT HUSSEIN HASSAN
10 HIDAYA SALMIN MASOUD
11 KHADIJA KHAMIS YUSSUF
12 KHADIJA MOHAMMED ALI
13 MARYAM MAKAME MGANGA
14 MARYAM MASOUD OMAR
15 MOSI RASHID UBWA
16 MUNIRA HASSAN ALI
17 MWANAJUMA SAID YUSSUF
18 OMAR KHAMIS OMAR
19 RAHMA ABUBAKAR OTHMAN
20 REHEMA AHMED KHAMIS

NAFASI YA KAZI YA MKUU WA DAHALIA

NO JINA KAMILI

1 FATMA ALI HASSAN
2 LUTFIA MBAROUK SAID
3 MWANAHAROUS ABDALLLA YUSSUF
4 MWANAKHAMIS SULEIMAN ADAM
5 SALHA MABROUK JUMA

NAFASI YA KAZI YA WALEZI

NO JINA KAMILI

1 ALAMA MUSSA ALI
2 AMINA KHAMIS HAFIDH
3 ARAFA YUSSUF MWINYI
4 ASHA KHAMIS MOH’D
5 ASHURA KHAMIS AWADH
6 CHAUSIKU ZANI MWINYI
7 DAWA KOMBO MANSOUR
8 FARIDA ALI
9 FATMA MOHAMED ABEID
10 FATMA SULEIMAN KOMBO
11 HADIA MAKAME MDUNGI
12 JAMILA HAJI KHAMIS
13 KHADIJA KHAMIS YUSSUF
14 KHUZAIMA NASSOR MOHAMED
15 MAIMUNA ABU KHAMIS
16 MIZA MAKAME PANDU
17 MUNAWAR HAKIM OMAR
18 MWANDAWA MAKAME AME
19 SALMA ISSA MOHAMED
20 SHARIFA RASHID ISSA
21 SIHABA ALI HAJI
22 SIHAWA ALI ZAHOR
23 SUBIRA OMAR RAMADHAN
24 WAHIDA KHAMIS ALI
25 ZAINAB AYOUB NAIM

NAFASI YA KAZI YA WAPISHI

NAM. JINA KAMILI

1 ABDULNASSIR YUSSUF SALUM
2 ALI HAMAD ALI
3 AMINA HASSUN SAID
4 AWADHI RAMADHAN HUSSEIN
5 FATMA ALI USSI
6 FATMA MASOUD FURAHISHA
7 FATUMA KHAMIS KHAMIS
8 IDIRISA SILIMA JUMA
9 IFTAH SHAH HAMZA
10 JUMA SHAIB SULEIMAN
11 KOMBO HAMDU KOMBO
12 LATIFA MUSTAFA SULEIMAN
13 MARYAM OMAR AHMED
14 MWAJUMA BAKARI KHAMIS
15 MWANAHIJA MBARAKA ANASI
16 MWATIMA SULEIMAN KHAMIS
17 NEEMA JAMAL JULIUS
18 SUBIRA MOH’D AMOUR
19 UMULKULTHUM KIBWANA IBRAHIM
20 WASILA KOMBO TANO

NAFASI YA KAZI YA ULINZI

NAM. JINA KAMILI

1 ABDULRAHMAN ABDULLA SAID
2 ABDULRAZAK MWINYI MUSSA
3 ALI MUHAMAD SULEIMAN
4 ALI SILIMA JUMA
5 ALI USSI MCHA
6 ASHA MUSSA ALI
7 AWESU MWADINI MOH’D
8 FATMA MAKAME MTUMWA
9 HAFIDH SULEIMAN BAKAR
10 HAJI HAMZA HAJI
11 HASSAN ALI JUMA
12 HASSAN AMEIR HASSAN
13 HAWA YUSSUF BAKARI
14 HIDAYA ABRAHAMAN YUSUFU
15 IBRAHIM HAJI FAKI
16 IBRAHIM MAHMOUD KHATIB
17 IBRAHIM MOH’D DARUWESHI
18 KHADIJA MUHSIN HAJI
19 KHAMIS ABASS SHEHE
20 KHAMIS FUMU FADHIL
21 KHAMIS HASSAN JECHA
22 KHAMIS MUSSA SHAABAN
23 KOMBO KHAMIS PEGWA
24 MAIKO NDONGO MASUNGA
25 MOHAMED KESSI MOHAMED
26 MUHAMED AMOUR KISISA
27 MUHAMMAD IBRAHIM TAYARI
28 OMAR MOH’D BAKARI
29 OMAR SHEHA HAMAD
30 VICENT MASANYIWA NKENAGUZI
31 ZIADA HAJI SHINDO

NAFASI YA KAZI YA USHAURI NASAHA

NO JINA KAMILI

1 AHMADA MAULID AHMADA
2 ALI KOMBO RASHID
3 ATHMUU HAJI ALI
4 FARHAT HASSAN MAKAME
5 FATHIA YUSSUF SALEH
6 FATMA MOH’D OMAR
7 HASSAN ALI HASSAN
8 HASSAN OMAR JUMA
9 HUSNA SHEHA HUSSEIN
10 JAMILA MAHAROUK ABDULLA
11 KASSIM JUMA MOH’D
12 KHAIRAT SHAIB FAKI
13 KHAMIS KHATIB HAJI
14 MARYAM MAULID SAID
15 MAUWA MAKAME SALIM
16 MGENI JUMA SIMBA
17 MOZA SULEIMAN BAKARI
18 NADHIFA RAMADHAN NGWALI
19 RAHMA KHATIB BAKAR
20 RIZIKI ABDULLA HAJI
21 RUKIA OTHMAN KHAMIS
22 SALHIYA KOMBO MWALIM
23 SALMA KHAMIS MUHSIN
24 SAUMU JUMA DAU
25 ZAMZAM VUAI MWADINI

NA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA, MAJI NA NISHATI VIJANA HAO NI KAMA AWAFUATAO

NAFASI YA KAZI AFISA MANUNUZI NA UGAVI DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 ASMA OMAR ZAHORO
2 HAFSA YASSIN ALI
3 KULTHUM MOH’D HAKIM
4 MASOUD RAMADHAN AHMADA
5 OTHMAN JECHA SALIM

NAFASI YA KAZI YA KARANI MASJALA DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 RABIA ABDI IS- HAKA
2 LAILA ALI HAMID
3 MWAJUMA HAJI ALI
4 NADRA ABDALLA KHAMIS
5 TATU MCHEZO HASSAN
6 ALI MAHAMOUD AME
7 FIDEA PAUL RAPHAEL KIONDO
8 HIDAYA MAKAME OMAR
9 HUZAIMA MSHAMBA JUMA
10 LATIFA SUDI SAID

NAFASI YA KAZI YA TARISHI

NO JINA KAMILI

1 AME JUMA AME
2 FADHILA HASSAN SALEH
3 IS-HAKA ADAM ABDULKADIR
4 RAHMA MAKAME ALI
5 ZAINAB MZEE MOH’D

NAFASI YA KAZI YA UDEREVA

NO JINA KAMILI

1 ABDULNADHIF MOH’D ALI
2 KASSIM ABDALLA MAKAME
3 KHAMIS BAKAR KHAMIS
4 MOHAMMED IDDI HASSAN
5 SIMAI KHAMIS KHEIR
6 ABUBAKAR ISSA ABUBAKAR
7 FAKIH ALI ABDALLA
8 FEROUZ NASSOR YUSSUF
9 MOHAMMED KHAMIS AMEIR
10 MOH’D RAMADHAN AME
11 SADIK SALIM OMAR
12 YASIR SAID MBARAKA
13 ABDALLA PETER HUSSEIN
14 AHMED KHAMIS HAJI
15 ALI ABDALLA ABDALLA
16 ALI HUSEIN KHAMIS
17 BAKARI OTHMAN MOH’D
18 HAMAD JUMA ISHAKA
19 HARUON NASSOR MAULID
20 HASSAN MOH’D ALI

NAFASI YA KAZI FIELD ASSISTANCE

NO JINA KAMILI

1 FAT-HIYA HASSAN KASSU
2 ABDULNASIR ABDALLA KHATIB
3 AMINA SHEHA ALLY
4 ASMA NAIM MWINYI
5 AZIZA PAO SHEHA
6 DALIDA HASSAN MNYAME
7 HABIBA ABUBAKAR ABDULLA
8 IDRISSA MWITA MBAROUK
9 JUMA MTUMWA SULEIMAN
10 KAZIJA M. KIFUNDI
11 MARYAM ALI VUAI
12 MAULID MOH’D YUSSUF
13 MWADINI HAMADI RASHID
14 MWADINI YUSSUF ALI
15 MWANAISHA AMOUR KHAMIS
16 RAMADHAN ALI OTHMAN
17 OTHMAN JUMA HAJI
18 SALAMA SULEIMAN ABDULLA
19 SALMA RASHID KHAMIS
20 YUNUS ILYAS MOH’D

NAFASI YA KAZI MPIMA ARDHI DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 ALI SHARIF ALI

NAFASI YA KAZI YA AFISA SHERIA

NO JINA KAMILI

1 AZALA ALI KHAMIS
2 MOHAMMED SAID MOHAMMED
3 MWAINAID MTUMWA MSELEM
4 SHAMI OTHMAN RAJAB
5 TIME ASAA KHAMIS

NAFASI YA KAZI YA URBAN PLANNING DARAJA II

NO JINA KAMILI

1 ABDULWAHID RASHID KOMBO
2 SABIHA SALEH ISSA
3 UPENDO MATHIAS KAHYOLO

NAFASI YA KAZI YA L.R. MGT DARAJA II

NO JINA KAMILI

1 ABUBAKAR MAULID KHAMIS

NAFASI YA KAZI GEO INFORMATIC SYSTEM (GIS) DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 KHAMIS ABDALLA AHMADA
2 MARYAM AMOUR SULEIMAN
3 MOHAMMED SALIM SHEHA
4 WALID SULEIMAN MUHAMMED

NAFASI YA KAZI YA MTUNZA GHALA DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 JAILAN ALI MBAROUK
2 MARYAM MOHAMMED HASSAN
3 MOH’D MJAWIRI MOH’D
4 PATIMA JUMA HAJI
5 ZUBEIR SAID RASHID

NAFASI YA KAZI AFISA UCHUMI

NO JINA KAMILI

1 ASHA MOHAMMED AHMED
2 ASHURA ABDI BULUSHI
3 EDI ABDULLAH SULEIMAN
4 FATMA MUHAJIR ALI
5 HAJI KHALID BAKAR
6 IBRAHIM YAHYA YUSSUF
7 RUKIA HASSAN ULED
8 SULEIMAN FAKI KHAMIS

NAFASI YA KAZI YA KATIBU MUHTASI DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 BARKE MOHAMMED ADAM
2 FATI-HIYA SAID ABAS
3 FATMA MOHAMMED JUMA
4 KITIBA JABIR MGENI
5 MARYAM M. JAFFAR
6 MARYAM SALIM ALI
7 MWANAKOMBO AMANI OTHMAN
8 MWANTATU MWINDADI MAHAFOUDH
9 RAIFA MAULID NASSOR
10 SHUWEKHA HAMAD SAID

NAFASI YA AFISA TEHAMA – UNGUJA

NO JINA KAMILI

1 ABDALLA KHAMIS MTUMWA
2 FATMA RAMADHAN HAJI
3 HASSAN HAJI HASSAN
4 NASSIR ALAWI NASSIR
5 NASSOR KHAMIS JUMA

NAFASI YA KAZI LAND RANGER

NO JINA KAMILI

1 ABDULHAMID KHAMIS HAJI
2 ALI SALIM MOHAMMED
3 ARAFA HAJI ALI
4 FATMA HAJI SAADE
5 IBRAHIM ALI JUMA
6 KHADIJA SAID MBWANA
7 MASOUD SULEIMAN JAMAL
8 SULEIMAN ABDULL SALUM
9 WARDA MOHAMMED SALUM
10 ZUWEINA AME HAJI

NAFASI YA KAZI YA AFISA SOSHOLOJIA

NO JINA KAMILI

1 THELEMA SALEH FARRAH
2 YUSSUF SHOMARI YUSSUF

KAZI YA KARANI MAHKAMA DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 FARIDA HASSAN JUMA
2 OMAR KHAMIS OMAR
3 SAUMU JUMA KIAZE
4 SULEIMAN SALIM AHMADA
5 WAIDA ALI BAKAR