Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Jux kwa mara nyingine tena ameungana na Vanessa Mdee kufanya kolabo.

Na awamu hii wamekuja na SUMAKU wimbo ambao umetengenezwa na S2kizzy.