Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 11, amefanyiwa kitendo cha udhalilishaji na kijana aliyefahamika kwa jina la Suleiman Salum Ali mkaazi wa Fuoni Chunga kwa kumvua nguo zake zote na kumkashifu.

Tazama Video hapo chini Mama mzazi wa mtoto huyo anaelezea hali ilivyokuwa………..

Sheha wa shehiya ya Fuoni Chunga kwa kushirikiana na Mratibu wa masuala ya Wanawake na Watoto wa shehiya hiyo wamesema watalifuatilia suala hilo hatua kwa hatua na watahakikisha haki inatendeka kwa mtoto huyo.