Video:Mapokezi ya Wasafi Festival Mwanza ni noma, mashabiki watoa onyo kwa wachawi

Msafara wa wasanii watakaotoa burudani katika jukwaa la Wasafi Festival uliwasili Mwanza majiri ya saa 6 mchana kupitia kiwanja cha ndege cha Mwanza na kupokewa na mashabiki mbalimbali ambao walijitokeza uwanjani hapo. Baada ya kushuka kiwanjani hapo msafara ilizunguka katika mitaa mbalimbali na mji huko na kupokea na umati mkubwa wa watu hali ambayo ililifanya jeshi la polisi kuingilia kati.