Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki EALA wametoka nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya kugomea Mswada wa Bandari ambapo wamedai mswada huo hauna maslahi kwa Tanzania na kwamba utapunguza mpato ya Tanzania.

Akiongea nje ya ukumbi wa bunge hilo Mariamu Ussi Yahaya alisema kuwa muswada huo unaotakiwa kuletwa utaounguza mapato ya bandari zetu hivyo hauna maslahi kwa taifa letu.