Wafanyakazi watano wa Azam Media ni miongoni mwa watu saba waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea katikati ya Shelui na Igunga hii leo.

Wafanyakazi wengine wawili wapo mahututi huku mmoja hali yake si mbaya.