Wakufunzi waliyopatiwa Mafunzo ya Maadili ya Utafiti wa Afya Zanzibar, wakabidhiwa vyeti

Mkurugenzi Tiba Wizara ya Afya Zanzibar Juma Salum Mbwana  akifunga Mafunzo ya siku tatu ya Maadili ya Utafiti wa Afya kwa wakufunzi  yaliyofanyika katika ukumbi wa Bohari Kuu ya Dawa Maruhubi Mjini Zanzibar (kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa  Afya Zanzibar Mayasa Salum Ali  .

Mkurugenzi Tiba Wizara ya Afya Zanzibar Juma Salum Mbwana akiwakabidhi vyeti wakufunzi waliyopatiwa  Mafunzo ya Maadili ya Utafiti wa Afya yaliyofanyika katika Ukumbi wa Bohari Kuu ya Dawa Maruhubi Mjini Zanzibar.  

Picha Na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.