Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA kimetangaza awamu ya kwanza ya majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo katika chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2018/2019.

Bonyeza hapa kusoma majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na SUZA